Swahili

LWF together – nchi inakuhitaji

Katika 2011, Shirika La Kilutheri Duniani (SKD) lina anzisha utafiti juu ya jumuia ya ulimwengu. Mamia ya vikundi ya vijana wakristo (umri wa miaka 15-30)wanashiriki imani yao, kuomba na kushughulika kwa ajili ya haki ya mazingira kote ulimwenguni. Mipango hii itaendeshwa kuanza Mei hadi Oktoba 2011.

Binafsi na Jumuia

Vikundi vitatu vya vijana kutoka bara tofauti watawasilian mmoja kwa mwingine kwa njia ya barua pepe au njia ya barua pepe au njia zinginezo, kwa njia hii, vikundi vya kawaida (nyumbani) vitaendelea kifanya kazi ndani ya mitaa yao pia wakibadilishana maoni pamoja na vikundi vingine na kutiwa motish vitendo vyao.

Imani

Msingi ni imani ya kawaida ya wakristo. Vikundi vyote vya vijana watasome vifungu vinavyofana kwenye Bibilia baadaye kubadilisha maoni yao vile vikundi vingine viwili.

Kuwajibika kwa haki kimazingira

Vijana (wadogo) katika Shirika la Kiluteri Duniani wamechagua haki kimazingira na kuhifadhahika kama mada kuu. LWF together inasaidia kuchanganua hali (ukweli) kamili nyumbani na kujifunza juu ya hali (ukweli) kamili nyumbani kwao vijana wengine wakristo. Vikundi vile vinapanga kwa pamoja shughuli ndogo ndogo za kuweza kuzungumza hali hizi.

Je, inafanyaje kazi hakika?

Vikundi vya kawaida vinavyotaka kujiunga vinajisajili na SKD na watashirikishwa na vikundi vingine viwili kutoka bara tofauti lakini wa umri ulio sawa (uhusiano wa mwanzoni utaheshiiwa). Kijitabu kwa lugha mbali mbali kitasaidia kufanikisha zoezi hili la vikundi vya nyumbani na kuwapa mwongozo katika miezi hii 6. Vikundi hivi vinaweza kubalisha mda kulinganana sikukuu na kadhalia (n.k). Mawasiliano yatafanyika kwa njia ya barua pepe au njia zozote zile za mtandao. Vikundi vitakavo na tatizo kufikia mtandao watapokea mkopo kidogo kufidia matumizi ya ziada.

Muungano ki ulimwengu

Katika mtandao (blog na facebook), wa vijana wa SKD, vijana wanaweza kutuma masomo na mawazo yao. Inakuwa jumuia ya ulimwengu wa vitendo. Ofisi ya SKD itawasiliana na vikundi vile mara kadhaa kwa mwaka. Katika makanisa mengi kuna mshirikishi ambaye atawapa msaada/motisha kwa lugha inayoeleweka (ya wenyeji).

Nani anaweza kujiunga?

Vikundi vya vijana (wadogo) [sehemu kubwa kati ya miaka 15-30] ambao wanaunganishwa na kanisa ambayo ni mwanachama wa Shirika la Kilutheri Duniana. Mmoja wa washirika katika kikundi anahitajika kuweza kuwasiliana kuwasiliana kwa lugha ya kiingereza. Angalau ewe uzoefu kimtandao.

Mda

Januari 20, 2011: Taarifa kamili kimaandishi inapatikana katika http:lwfyouth.org

Wandikishaji/usajili ikowazi.

Aprili 1, 2011: Mwisho wa kujiandikisha (kusajiliwa)

Mei 1, 2011: Uzinduzi wa mtandao wa SKD kwa pamoja.

Oktoba 31, 2011: Siku ya mabadiliko – hitimisho (mwish) wa SKD kwa pamoja.

Maelezo

Maelezo zaidi yanapatikana kwa http:lwfyouth.org

Maswali kwa roger.schimdt@lutheranworld.org

Shirika la Kilutheri Duniana ni usharika wa jumuia ya wakristo katika makanisa ndani ya desturi ya kilutheri. Wakristo katika makanisa ndani ya desturi ya kilutheri. Ilianzishwa 1947 kule Lundi, Uswidi. SKD sasa ina makanisa 145 wanachama katika nchi 79 ulimwenguni wakiwakilisha zaidi ya wakristo million 70. http//:www.lutheranword.org

One thought on “Swahili

  1. Philip O. Adika says:

    Am very happy to read what you have posted that is good. I would also like to join the group so please reply me back.

    Thanks alot for what you are doing to the LWF youth blong. Hongera sana it means congaratition

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>